**
*Ankal akisalimiana na Mhe Uhuru Kenyatta siku za nyuma wakati Rais huyo
mteule wa Kenya alipotembelea Tanzania. Leo Tume ya Uchaguzi ya Kenya
imemtangaza Mhe Kenyatta kuwa mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais baada ya
kupata kura dhidi ya mpinzani wake wa karibu Mhe Raila Odinga*
No comments:
Post a Comment