Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yameshaanza kuwa gumzo mtaani. wengine wanasema yatatoka tarehe 6 feb, wengine mwezi wa nne, baadhi wanasema feb 13 . Najua zote ni presha tu za form 4 levers 2012, lakini ukweli ni kwamba upende usipende matokeo lazima yatoke.