clouds Fm yaibuka na tuzo ya ubora (superbrands) kwa mara ya tatu mfululizo.
*Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary
Nagu (kati) pamoja na Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrands Afrika Mashariki,
Bw Jawad Jaffer kwa pamoja wakimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds
Media Group,Bwa.Joseph Kusaga kwa Couds Fm redio kuibuka na tuzo hiyo ya
ubora kwa mara ya tatu mfululizo. Tukio hilo lilifanyika hivi karibuni
katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.*
*Mkurugenzi wa Mradi Superbrands Afrika Mashariki, Bw Jawad Jaffer
akimkabidhi cheti kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media
Group,Bwa. Joseph Kusaga mara ba... more »
No comments:
Post a Comment